Friday 11 November 2016

KARIBU KATIKA UKURASA WA IBER 2016


Karibu katika ukurasa maalumu wa blog ya waandishi wa habari za utafiti wa maswala ya Biashara na kilimo kwa mwaka 2016.

blog hii inayosimamiwa na waandishi waliopewa mafunzo  ya mwaka mmoja yajulikanayo kw ajina la  IBER 2016  katika chuo cha SAUT Jijini Mwanza  kwa ufadhili wa chuo hicho cha SAUT,  BEST DIALOG, na ANSAF.

Ukurasa huu utakuwa maalumu kwaajili ya kuchapisha taarifa mbalimbali za kilimo na biashara za ndani na nje ya nchi.

Tunaomba ushirikiano wako kufuatilia na kusoma yale ambayo tutachapisha hapa.

Asante na karibu.
Mhariri Msaidizi. 
Sophia Sessy


No comments:

Post a Comment